Mwanaharakati

Saturday, July 22, 2006

SHUKRANI

Hi anyone there!
Kwanza kabisa napenda kuwashukuru wale wote waliofanya jitihada zao za hali na mali kuhakikisha kuwa kunakuepo na mtandao wa aina hii ya kipekee.Nasema kipekee kwani ni mtandao unaotuunganisha watu wote bila kujali taifa wala rangi.Kwa kupitia njia hii napenda kuungana na blog members wengine kukubali kwamba its something different!
"Mwanaharakati" kama ilivyo tittle yangu ni kamba napenda kuwa mwanaharakati kwa kadiri niwezavyo ili kuhakikisha kwamba mchango wowote nitakaoutoa kwa jamii yangu,nchi yangu hata kwa taifa langu uweze kusikika na pengine kwa wale watakaokubali kuutumia mchango wangu siku moja waweze kufanya changes nami nitakuwa nimeisaidia jamii yangu.
Napenda kuwaahidi wale wote watakaotembelea blog hii kuwa nitakuwa nawaletea mambo mengi kuhusu niwazavyo,ukweli ulivyo na nini kifanyike kuhakikisha kuwa ni harakati ya kweli na yenye maendeleo.Nitakuwa pia natumia muda mwingi kadri niwezavyo kubuni ni nini cha kuwapa kama wanajamii wenzangu ili kwa pamoja tuweze kuleta maendeleo ya kweli.
Sitakuwa napendelea upande mmoja sana wa jamii ila nitakuwa nakupa habari mbalimbali kama vile kuhusu wanawake nikiwa kama mwakilishi wao,vijana wenzangu na masuala kidogo ya siasa kwani nawez kusema kuwa ni fani yangu.Habari nyingi zitatoka kwangu kama nionavyo mimi na nyingine zitatoka katika magazeti mbalimbali na makala ya waandishi wengine pale nitakapoona kuwa yatasaidia katika harakati hizi,
Wanawake na maendeleo na wanawake na uongozi itakua dira mojawapo ya harakati zangu.Sitaishia hapo tu bali nitasaidiana na Vijana katika kutetea haki zetu na kuonesha mchango wetu kama vijana.Hakuna mwingine ila ni sisi tu ndio nguvu kazi iliyobaki na kwa kupitia sisi twaweza kuleta maendeleo achilia mbali kuwa nafasi nzuri na za juu kuchukuliwa na wazee ambao hata kazini wanashindwa kwenda na wakienda wanasinzia.Hatukatai kuwa ni nchi yetu ila tujiamini kuwa tunaeza na tutaleta maendeleo.Elimu pia sitaiacha nyuma katika kushauriana nanyi ni ni tufanye ili kujikomboa na umasikini.Nina wasiwasi kuwa kwa awamu hii ya kasi mpya ninawasiwasi kuwa hata yule mtumishi wa ndani atahitajika kufanya interview na ni lazima awe amemaliza kidato cha nne na kufaulu vizuri,tutazungumzia pia elimu pale itakapotubidi kwani huyu jamaa !ELIMU! yatapasa tumshikilie sana asije akaenda zake na tukaja lia wakati wa 'Mheshimiwa Sana' atakapomaliza muda wake na tukabaki kulaumu kuwa ameshindwa kuongeza ajira.
Nadhani mengi tutaendelea kupashana siku hadi siku kwenye blog hii na nadhani mtanisikia kijana mwenzenu na kwa wale wasichana tutakuwa pamoja kuwawakilisha katika blog hii muhimu na iletayo maendeleo kwa kuzungumza,kuandika na hasa kutoa maoni yako unayofikiri,
!SIKIKA SASA HUWEZI JUA UNALOWAZA LAWEZA KUWA NDILO SULUHISHO !